CAF KOMBE LA SHIRIKISHO:-Azam FC waifunga Nyumbani 3-0 Bidvest Wits - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, March 12, 2016

CAF KOMBE LA SHIRIKISHO:-Azam FC waifunga Nyumbani 3-0 Bidvest Wits

Klabu ya Azam FC imeanza vizuri michuano ya Kombe la Shirikisho ya CAF kwa kuitwanga Bidvest Wits ya Afrika Kusini mwa mabao 3-0 ,Leo March 12, 2016,usiku ikiwa nyumbani kwao Afrika Kusini.

Azam FC walipopata magoli hayo katika dakika ya 51 kupitia Salum Abubakary ‘Sure Boy’ aliyepiga shuti kali nje ya 18,bao la pili kupitia Shomari Kapombe na dakika ya 59, ikaandika bao lake la tatu kupitia kwa nahodha John Bocco, ‘Adebayor’.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad