HAPA KAZI TU:-Mhe. Kassim Majaliwa kesho,March 13,2016 atakuwa Mkoani Kagera kwa ziara ya siku mbili. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, March 12, 2016

HAPA KAZI TU:-Mhe. Kassim Majaliwa kesho,March 13,2016 atakuwa Mkoani Kagera kwa ziara ya siku mbili.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kesho,March 13,2016 atakuwa Mkoani Kagera kwa ziara ya siku mbili katika wilaya za Misenyi,Bukoba, Karagwe na Ngara yenye lengo la kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo. 

Lakini pia Waziri Mkuu atatembelea maeneo yenye migogoro ya ardhi ya muda mrefu ili kuitafutia ufumbuzi.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad