Timu ya JKU
ya Zanzibar imefungwa mabao 4-0 katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza
Kombe la Shirikisho Afrika,kwenye Uwanja wa Mandela,mjini Kampala, na wenyeji SC Villa ya
Uganda.
Mabao ya
Jogoo la Kampala yamefungwa na Mike Ndera, Mike Serumaga, Umar Kasumba na
Godfrey Lwesibawa.
Sasa JKU
itabidi ishinde 5-0 wiki ijayo Uwanja wa Amaan, Zanzibar ili kusonga mbele.
Wawakilishi
wengine wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho, Azam FC wanashuka Uwanja wa
Bidvest mjini Johannesbrug, Afrika Kusini kumenyana na wenyeji Bidvest Wits
katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza.
CAF KOMBE LA
SHIRIKISHO
Sports Villa
– Uganda 4 - 0 JKU – Zanzibar
Stade
Gabesien – Tunisia 2 - 1 AS DU Kaloum Star – Guinea
Harare City
– Zimbabwe 1 - 2 Zanaco – Zambia
16:00
Atheletico Olympic – Burundi v CF Mounana - Gabon
17:00 G.D.
Sagrada Esperança - Angola v Grupo Desportivo Maputo - Mozambique
17:30 Vita
Club De Mokanda – Congo v Police FC - Rwanda
17:50
Renaissance - Chad v ES Tunis - Tunisia
19:00 Africa
Sports - Ivory Coast v Enppi - Egypt
19:00
Bidvest Wits - South Africa v Azam FC - Tanzania
19:00 Misr
Almaqasa – Egypt v SC Don Bosco - Congo, DR
20:00 MC
Oran – Algeria v SC Gagnoa - Ivory Coast
21:00 Kawkab
Athletic Club Marrakech – Morocco v Barrack Young Controllers FC - Liberia
|
No comments:
Post a Comment