|
Pichani ni Basi
la Leina Tours lililokuwa likitokea Mjini Kahama,mkoani Shinyang’a kwenda
Jijini Dar es Salaam, likiwa limeacha njia na kutumbukia katika mtaro eneo la
Kimara Bucha usiku wa March 13, 2016,Majira ya saa Moja usiku.
Idadi ya
waliofariki haijatolewa ila waliojeruhiwa ni zaidi ya 30 na walikimbizwa Hospitali
ya Mwananyamala na Hospitali na
Muhimbili.
|
No comments:
Post a Comment