LIGI KUU VODACOM 2015/2016:- Ni raundi ya 18 ..Simba SC,Yanga SC na Azam FC Jumapili February 07. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, February 06, 2016

LIGI KUU VODACOM 2015/2016:- Ni raundi ya 18 ..Simba SC,Yanga SC na Azam FC Jumapili February 07.

Ligi Kuu ya Vodacoma Tanzania bara raundi ya 18 inatarajiwa kuendelea wikiendi hii ya leo Jumamosi na Jumapili kwa michezo nane kuchezwa katika viwanja mbalimbali nchini, Jumamosi ukichezwa mchezo mmoja na Jumapili kuchezwa kwa michezo saba.

Hapo juu ni ratiba kamili ya VPL weekend hii.

Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na Mimi Hapa...FACEBOOK .. TWITTER .. INSTAGRAM … Pia Usisite kututumia tukio la Picha/Habari  kwa WhatsApp +255789925630/+255756830214.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad