|
Kiongozi
mkuu wa kambi ya Upinzani Bungeni,Mhe. Freeman Mbowe ametangaza Baraza lake la
Mawaziri Kivuli leo,February 05,2016, Bungeni mjini Dodoma.
Mhe. Mbowe,
ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa CHADEMA ametaja baraza lake
ambalo litakuwa na lengo la kuishinikiza serikali ya Rais Magufuli kutimiza
kile alichoahidi kwa Watanzania.
Baraza hilo
ni kama ifuatavyo;-
1.Wizara ya
Ofisi ya Rais, Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora.
Mawaziri –
Jaffar Michael
Naibu Waziri
– Joseph Nkundi na Ruth Mollel
2.Wizara ya
Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira
Waziri – Ali
Saleh Abdalla
Naibu Waziri
– Pauline Gekul
3.Ofisi ya
Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Walemavu
Waziri –
Esther Bulaya
Naibu –
Yusuph Makame na Maftah Abdalla
4.Wizara ya
Kilimo, Mifugo na Uvuvi
Waziri –
Magdalena Sakaaya
Naibu Waziri
– Emmaculate Swari
5.Wizara ya
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
Waziri-Inj.
James Mbatia
Naibu Waziri
Willy Kombucha
6.Wizara ya
Fedha na Mipango
Waziri –
Halima Mdee
Naibu Waziri
– David Silinde
7.Wizara ya
Nishati na Madini
Waziri –
John Mnyika
Naibu Waziri
– John Heche
8.Wizara ya
Katiba na Sheria
Waziri – Tundu
Lissu
Naibu Waziri
Abdalla Mtolela
9.Waziri wa
Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afika Mashariki, Kikanda na Kimataifa.
Waziri –
Peter Msigwa
Naibu Waziri
– Riziki Shaghal
10.Wizara ya
Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Waziri –
Juma Omari
Naibu Waziri
Mwita Waitara
11.Wizara ya
Mambo ya Ndani
Waziri –
Godbless Lema
Naibu Waziri
Masoud Abdalla
12.Wizara ya
Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Waziri –
Wilfred Lwakatare
Naibu Waziri
– Salum Mgoso
13.Wizara ya
Maliasili na Utalii
Waziri
Esther Matiko
Naibu
Waziri– Cecilia Pareso
14.Wizara ya
Viwanda, Biashara na Uwekezaji.
Waziri
Anthony Komu
Naibu Waziri
Cecil Mwambe
15.Wizara ya
Elimu, Sayansi Teknolojia na Ufundi
Waziri –
Suzan Lyimo
Naibu Waziri
Dkt. Ali Suleiman Yusuph
16.Wizara ya
Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Waziri –
Dkt. Godwin Mollel
Naibu Waziri
Zubeda Sakul
17.Wizara ya
Habari, Utamadu, Wasanii na Michezo
Waziri –
Joseph Mbilinyi
Naibu Waziri
– Devotha Minja
18.Wizara ya
Maji na Umwagiliaji
Waziri –
Hamidu Hassan
Naibu
Waziri– Peter Lijualikali
Hapa chini Msikilize Mbowe akitangaza Baraza hilo Leo Bungeni.
|
No comments:
Post a Comment