AJALI / PICHA:-Gari ya Mke wa Wwaziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Mama Tunu Pinda lapata ajali Morogoro ,leo February 08,2016. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, February 08, 2016

AJALI / PICHA:-Gari ya Mke wa Wwaziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Mama Tunu Pinda lapata ajali Morogoro ,leo February 08,2016.

Tumepokea taarifa kuwa gari ya Mke wa Wwaziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Mama Tunu Pinda imepata ajali Morogoro ,leo February 08,2016. Taarifa za awali zinasema Majeruhi  Wamepelekwa hospitali ya mkoa wa Morogoro kwa matibabu.

Tunafuatilia taarifa zaidi.PICHA KWA HISANI YA ROAD SAFETY AMBASSADORS(RSA)-TANZANIA.
Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na Mimi Hapa...FACEBOOK .. TWITTER .. INSTAGRAM … Pia Usisite kututumia tukio la Picha/Habari  kwa WhatsApp +255789925630 Or+255756830214.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad