TASWIRA PICHA:-Chama cha CNDD FDD cha shiriki Maadhimisho ya miaka 39 ya CCM mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, February 08, 2016

TASWIRA PICHA:-Chama cha CNDD FDD cha shiriki Maadhimisho ya miaka 39 ya CCM mkoani Kagera.

Picha ya pamoja Mkuu wa wilaya ya Ngara,Bi Honoratha Chitanda ,MMEC-Issa Samma na Viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi CCM na Chama Tawala cha Burundi -CNDD FDD,ambacho ni chama rafiki, ndani ya Viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa wilaya,Februari 06,2016 kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa CCM mkoani Kagera.
MMEC wilaya ya Ngara,Issa Samma na Viongozi  Chama Tawala cha Burundi -CNDD FDD,  ndani ya Viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa wilaya,Februari 06,2016 kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa CCM mkoani Kagera.


Viongozi mbalimbali wa Chama Tawala cha Burundi -CNDD FDD,  ndani ya Viwanja vya Posta ya zamani mjini Ngara,Februari 06,2016 kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa CCM mkoani Kagera.

Katika pozi la pamoja la Viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi CCM na Chama Tawala cha Burundi -CNDD FDD,  ndani ya Viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa wilaya,Februari 06,2016 kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa CCM mkoani Kagera.
Chama tawala nchini Tanzania ,Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kushika dola licha ya upinzani mkali kutoka vyama vingine vya siasa hasa vile vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).

Maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwake, yanaandika historia nyingine ya chama hicho tangu kuanzishwa kwake Februari 05, 1977.

Chini ya Baba wa Taifa Mwalimu, Julius Nyerere chama hicho ambacho ni cha pili kwa ukubwa barani Afrika kikitanguliwa na ANC cha Afrika Kusini, kinajivunia mambo mengi yaliyokifanya kudumu mpaka sasa.


Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na Mimi Hapa...FACEBOOK .. TWITTER .. INSTAGRAM … Pia Usisite kututumia tukio la Picha/Habari  kwa WhatsApp +255789925630 Or+255756830214.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad