USALAMA WETU BARABARANI:-Madumu ya Mafuta katika Basi Hairuhusiwi...Tazama Picha hapa Basi la Princess Muro na Faini ya kosa hilo. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, January 15, 2016

USALAMA WETU BARABARANI:-Madumu ya Mafuta katika Basi Hairuhusiwi...Tazama Picha hapa Basi la Princess Muro na Faini ya kosa hilo.

Pichani ni Basi la Princess Muro likiwa limebeba madumu ya mafuta ambapo ni hatari na hairuhusiwi kwa basi la abiria kubeba mzigo huo. Madumu hayo yameshushwa na wahusika kutozwa faini na Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani.







Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad