Mwenyekiti
wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete akiwa ukumbini na Nyota wa Soka Tanzania,
aliyeshinda Tuzo ya mwanasoka Bora wa Afrika kwa Wachezaji wa ndani, Mbwana
Samatta, alipokutana na mchezaji huyo jana January 11,2016, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya
CCM, Lumumba, Dar es Salaam, kwa ajili ya kumpongeza kufuatia kutwaa tuzo hiyo.
|
Waziri wa
Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, ambaye pia ni Katibu wa NEC, Itikadi na
uenezi, Nape Nnauye akimkaribisha Kikwete kuzungumza na waandishi wa habari,
katika hafla hiyo ya kumpongeza Samatta.
|
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Mstaafu, Kikwete akizungumza na kumpongeza Nyota wa Soka Tanzania,
aliyeshinda Tuzo ya mwanasoka Bora wa Afrika kwa Wachezaji wa ndani, Mbwana
Samatta (kushoto), alipozungumza na waandishi wa habari baada ya kutana na
mchezaji huyo jana January 11,2016, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es
Salaam, kwa ajili ya kumpongeza kufuatia kutwaa tuzo hiyo.Kulia ni Waziri Nape.
|
Nyota wa
Soka wa Tanzania, aliyeshinda Tuzo ya mwanasoka Bora wa Afrika kwa Wachezaji wa
ndani, Mbwana Samatta, akimkabidhi Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Kikwete,
aliyokuwa akiitumia katika timu ya TP Mazeembe ya Congo DRC, katika hafla ya
Kikwete iliyofanyika Jana January 11,2016 katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar
es Salaam, kwa ajili yaRais huyo mstaafu kumpongeza kufuatia kutwaa tuzo hiyo.
|
JK na
Samatta wakitoka ukumbini.
|
Samatta
akiongozana na Kikwete kutoka ukumbini huku akiwa na tuzo yake.
|
Samatta
akiongozana na Kikwete kutoka ukumbini huku akiwa na tuzo yake.
|
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Mstaafu Kikwete na Waziri Nape wakirudi Ofisini baada ya
kumsindikiza Samatta.
|
Baadhi ya
waandishi wa habari waliokuwepo kwenye hafla hiyo leo.
PICHA ZOTE
NA BASHIR NKOROMO.
|
No comments:
Post a Comment