Mbunge wa
jimbo la Arumeru Mashariki CHADEMA,Joshua Nassari akiwa katika moja ya karakana
ya kutengeneza vifaa tiba katika mji wa Guangzhou nchini China.
|
Mheshimiwa
Nassari akifanya mazungumzo na wahusika wa karakana hiyo kuona namna ya kuapata
vifaa hivyo kwa ajili ya kusidia katika Hosptali ya wilaya ya Arumeru na vituo vya
afya.
|
Mh Nassari
akiwa amelala kwenye moja ya vitanda vya wagonjwa alivyokuta katika karakana
hiyo.
|
Mh ,Nassari
akipita katika karakana hiyo .
|
No comments:
Post a Comment