VIWANJA VYETU VYA SOKA:-Picha namna Uwanja wa Kaitaba-Bukoba mkoani Kagera Umeanza kuwekwa nyasi bandia rasmi. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, November 03, 2015

VIWANJA VYETU VYA SOKA:-Picha namna Uwanja wa Kaitaba-Bukoba mkoani Kagera Umeanza kuwekwa nyasi bandia rasmi.



Uwanja wa Kaitaba ,mjini Bukoba mkoani Kagera,umeanza kuwekwa nyasi bandia rasmi  Jumatatu ya November 02,2015 na kutokana na maelezo ya wawekaji wamesema utachukuwa muda wa siku 14 tu.

Wakaazi wa Mji wa Bukoba na Vitongoji vyake sasa kuanza kushuhudia  kipute live bila Chenga katika Uwanja huo wa Kaitaba,ambao ulikua ni uwanja wa nyumbani wa timu ya KAGERA SUGAR inayoshiriki Ligi kuu soka Vodacom Tanzania bara 2015/2016. 

Timu hiyo inatarajiwa kurudi katika Uwanja hu,ambapo mpaka sasa tangu msimu uliopita 2014/2015 wamekuwa wakitumia Viwanja vingine kwa michezo yao ya Nyumbani na Ugenini pia. 

Uwanja huu unaboreshwa  kwa ufadhili wa Shirikisho la soka Ulimwenguni -FIFA chini ya mpango wa misaada wa Goal Projects.

Ads by CinemaPlus-3.3c
X | i

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad