Ivory Coast
ndiyo inayoongoza barani Afrika katika nambari 22, ikifuatwa na Algeria iliyo
nambari 26 nayo Ghana nambari 30.
Uganda ndio
walio mbele miongoni mwa mataifa ya Afrika Mashariki, wakikwamilia nambari 68
baada ya kupanda hatua saba.
Rwanda wamo
nambari 96 baada ya kushuka hatua tatu nao Burundi nambari 107 baada ya kupanda
hatua sita.
Congo
Brazzaville wamo namba 52, wakifuatwa kwa karibu na DR Congo walio nambari 55.
Sudan
wameshuka hatua 44 hadi nambari 128, na Ethiopia hatua sita hadi 117.
Sudan Kusini
waliocheza mechi yao ya kwanza ya kufuzu kwa Kombe la Dunia dhidi ya
Mauritania, ambayo walitoka sare 1-1 lakini wakabanduliwa kwenye marudiano
baada ya kucharazwa 4-0, wanashikilia nambari 134 baada ya kupanda hatua 10.
Djibouti
ndio wanaoshika mkia Afrika wakiwa nambari 207, wakifuatwa na Somalia nambari
203 na Eritrea 202.
Duniani,
orodha ya timu kumi bora ndiyo hii:-
1 Ubelgiji
2 Ujerumani
3 Argentina
4 Ureno
5 Chile
6 Uhispania
7 Colombia
8 Brazil
9 Uingereza
10 Austria
|
Thursday, November 05, 2015

UBORA WA SOKA DUNIANI:-Kenya, Tanzania na Uganda zapanda FIFA.
Tags
# MICHEZO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MICHEZO
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment