TAZAMA PICHA:-Rais Magufuli akiwa Ofisini Kwake Siku ya Kwanza. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Friday, November 06, 2015

demo-image

TAZAMA PICHA:-Rais Magufuli akiwa Ofisini Kwake Siku ya Kwanza.

.com/simgad/
4-IMG_7282
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifanyakazi ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni siku yake ya kwanza ofisini kwake tangu alipoapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya tano.

(Picha na Freddy Maro)

Rais Dk John Magufuli jana November 05,2015 alifanya uteuzi wake wa kwanza kwa kumteua Bw.George Masaju kuendelea tena na wadhifa wake wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Pia ameitisha Bunge la 11 ambapo wabunge watakutana mjini Dodoma kuanzia Novemba 17 hadi 19,2015 na atapeleka jina la Waziri Mkuu ambaye atamteua kwa ajili ya kuidhinishwa.

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *