Ripota
wa millardayo.com ameingia
ndani ya Uwanja wa Uhuru, Temeke Dar es Salaam na yuko tayari kukusogezea
kinachoonekana nje mpaka ndani, kona mpaka kona ya Uwanja huo inavyoonekana saa
chache kabla ya kushuhudia tukio lenyewe.
|
.
Katikati ya
Uwanja kuna jukwaa lenye red carpet ambapo Rais mteule ataapishwa.
|
Kwenye fensi
ya Uwanja zinaonekana bendera za TZ zikiwa zinapepea.
|
Huu ni
muonekano wa pembeni ya geti la kuingilia Uwanjani.
|
Hapa ni
Jukwaa Kuu, Viongozi wakuu wa TZ pamoja na wageni wengine waalikwa kama
Mabalozi, Marais wa nchi nyingine walioalikwa na wengineo watakaa kushuhudia
tukio zima la kuapishwa Dk. John Magufuli.PICHA ZOTE KWA HISANI YA MILLARDAYO.
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo
na Nyingine kwa kujiunga na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia
tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
|
No comments:
Post a Comment