LIGI KUU UINGEREZA 2015/2016:- Huu ndio msimamo baada ya Bingwa mtetezi Chelsea kufungwa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, November 01, 2015

LIGI KUU UINGEREZA 2015/2016:- Huu ndio msimamo baada ya Bingwa mtetezi Chelsea kufungwa.

Davis raises his arm as his shot evades the dive of Federici, finding the net to put Southampton ahead in the 31st minute of the match na kuwapa Southampton ushindi wa Bao 2-0 walipocheza kwao Saint Mary Mechi ya Ligi Kuu EPL 2015/2016 dhidi ya Bournemouth.

 Ushindi huo umewapandisha Southampton hadi Nafasi ya 7 na kuwabakisha Bournemouth Pointi 1 tu juu ya Timu 3 za mkiani.

Bao za Southampton zilifungwa na Steven Davis, Dakika ya 31, na Graziano Pelle, Dakika ya 36.


Jumamosi Oktoba 31,2015.

Chelsea 1 - 3 Liverpool  
   
Crystal Palace 0 - 0 Man United 
           
Man City 2 - 1 Norwich  
            
Newcastle 0 - 0 Stoke  
            
Swansea 0 - 3 Arsenal  
      
Watford 2 - 0 West Ham  
           
West Brom 2 - 3 Leicester  
LIGI KUU UINGEREZA 2015/2016 -RATIBA

**Saa za Bongo 
           
Jumatatu Novemba 2,2015.

2300 Tottenham v Aston Villa

Jumamosi Novemba 7,2015.

1545 Bournemouth v Newcastle  
             
1800 Leicester v Watford   
             
1800 Man United v West Brom  
               
1800 Norwich v Swansea   
             
1800 Sunderland v Southampton 
            
1800 West Ham v Everton
               
2030 Stoke v Chelsea   
         
Jumapili Novemba 8,2015.

1630 Aston Villa v Man City    
        
1900 Arsenal v Tottenham  
            
1900 Liverpool v Crystal Palace 


Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad