LA LIGA 2015/2016:-Tazama Msimamo baada ya Real Madrid CF na FC Barcelona kushinda October 31,2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, November 01, 2015

LA LIGA 2015/2016:-Tazama Msimamo baada ya Real Madrid CF na FC Barcelona kushinda October 31,2015.

Magoli 2 ya Luis Suarez na Neymar  yamewapa ushindi wa 2-0 Barcelona walipocheza Ugenini huko Coliseum Alfonso Perez na kuichapa Getafe 2-0 katika Mechi ya La Liga 2015/2016.

 Ushindi huu umewafanya Barca waifikie kwa Pointi Real Madrid ambao ndio wanaongoza La Liga lakini wao wako Nafasi ya Pili kwa uchache wa Magoli.

LA LIGA 2015/2016 -RATIBA/MATOKEO:

Ijumaa Oktoba 30,2015.

Deportivo La Coruna 1 - 1 Atletico de Madrid 

Jumamosi Oktoba 31,2015.

Real Madrid CF 3 - 1 Las Palmas 

Valencia C.F 3 - 0 Levante 

Villarreal CF 2 - 1 Sevilla FC 

Getafe CF 0 - 2 FC Barcelona 

Real Sociedad 2 - 3 Celta de Vigo 

Jumapili Novemba 1,2015.

 SD Eibar 1 - 0 Rayo Vallecano

 RCD Espanyol 1 - 1 Granada CF

 Sporting Gijon v Malaga CF

2230 Real Betis v Athletic de Bilbao


Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad