Balozi Sefue
pia metumia nafasi hii kuwaagiza watendaji na viongozi wote katika sehemu za
kazi kuhakikisha wananchi wanahudumiwa ipasavyo na kazi za umma zinatekelezwa
ipasavyo.
“Hakutakuwa
na huruma kwa watumishi wa Umma wasiojali wananchi na mahitaji yao” Amesisitiza
Balozi Sefue.
Imetolewa
na;
Premi
Kibanga,
Mwandishi wa
Habari wa Rais Msaidizi,
Ikulu – Dar
es Salaam.
9 Novemba,
2015.
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
|
Monday, November 09, 2015
Home
HABARI
MATUKIO
KUBORESHA UTENDAJI:-Rais Magufuli abadilisha Bodi ya Uongozi ya usimamizi wa hospitali ya Taifa Muhimbili.
KUBORESHA UTENDAJI:-Rais Magufuli abadilisha Bodi ya Uongozi ya usimamizi wa hospitali ya Taifa Muhimbili.
Tags
# HABARI
# MATUKIO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MATUKIO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment