MAFANIKIO MCHEZONI:- Arsene Wenger ameibuka na tuzo ya kocha bora wa mwezi October katika Ligi Kuu Uingereza.. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, November 10, 2015

MAFANIKIO MCHEZONI:- Arsene Wenger ameibuka na tuzo ya kocha bora wa mwezi October katika Ligi Kuu Uingereza..


Pichani ni Arsene Wenger ameibuka na tuzo ya kocha bora wa mwezi uliopita wa October,2015 katika Ligi Kuu Uingereza 2015/2016.

Hiyo ni ni tuzo ya 15 ya mwezi kwa Wenger tokea atue Arsenal mwaka 1996 akitokea Grampus Eight ya Japan.

Mwezi uliopita wa October, Wenger amefanikiwa kuingoza Arsenal kuzitwanga Manchester United, Watford, Everton na Swansea City

2015-16 MONTHLY WINNERS

August,2015: Manuel Pellegrini (Manchester City)

September,2015: Mauricio Pochettino (Tottenham)

October,2015: Arsene Wenger (Arsenal)


 WENGER'S MONTHLY AWARDS

1998: March, April

2000: October

2002: April, September

2003: August

2004: February, August

2007: September, December

2011: February

2012: February

2013: September

2015: March, October



Naye Mshambuliaji hatari wa Leicester City, Jamie Vardy ndiye mchezaji bora wa mwezi Oktoba,2015.

Vardy amechukua tuzo hiyo baada ya kuonyesha makali akianzia Septemba na kwenda mfululizo hadi Oktoba akiendelea kucheka na nyavu mfululizo.

Kilichompa nafasi ya kutwaa tuzo hiyo ni pamoja na kufunga mfululizo katika mechi nane.

ANGALIA ALIVYOCHEKA NA NYAVU.

Agosti 29 - vs Bournemouth - 1 goal


Septemba 13 - vs Aston Villa - 1 goal


Septemba 19 - vs Stoke City - 1 goal


Septemba 26 - vs Arsenal - 2 goals


Oktoba 3 - vs Norwich City - 1 goal


Oktoba 17 - vs Southampton - 2 goals


Oktoba 24 - vs Crystal Palace - 1 goal


Oktoba 31 - vs West Brom - 1 goal


Novemba 7 - vs Watford - 1 goal


Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad