Magoli ya
Simba SC yalifungwa na Ibrahim Ajib aliyefunga hat-trick kwa kuanza kufunga goli
la kwanza dakika ya 8, 14 na 42 akakamilisha idadi ya goli zake tatu, Hamisi
Kiiza alifunga goli mbili katika mchezo huu dakika ya 32 na dakika ya 81 baada
ya dakika ya 71, Hussein Mohamed ‘Tshabalala‘ kufunga goli la tano kwa Simba,
Maji Maji FC walipata goli la kufutia machozi kupitia kwa Ditram Nchimbi.
Matokeo ya
mechi nyingine za Ligi Kuu October 31,2015.
• Kagera 0 – 2 Yanga SC
• Coastal Union 1 – 1 Mbeya City
• Mtibwa Sugar 4 – 1 Mwadui FC
|
Simba ndio
timu pekee mpaka sasa ambayo imetoa wachezaji waliofunga magoli matatu kwenye
kwenye mechi moja (hat-trick) msimu huu ambao ni Hamis Kiiza na Ibrahim Ajib.
|
No comments:
Post a Comment