Hata hivyo
mechi imemalizika kwa klabu ya Chelsea kukubali kupokea kipigo cha goli 3-1 na
kuendelea kuweka mashakani kibarua cha kocha wao Jose Mourinho. Magoli ya
Liverpool yalifungwa na Philippe Coutinho dakika ya 45 na 74 huku Christian
Benteke akikamilisha goli la tatu dakika ya 83, Chelsea walipata goli la
kufutia machozi dakika ya 4 ya mchezo kupitia kwa Ramires.
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
|
Saturday, October 31, 2015

Home
MICHEZO
EPL 2015/2016:-Taswira Picha ya bao 3 - 1 wakati Chelsea ikifungwa nyumbani Liverpool leo October 31,2015.
EPL 2015/2016:-Taswira Picha ya bao 3 - 1 wakati Chelsea ikifungwa nyumbani Liverpool leo October 31,2015.
Tags
# MICHEZO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MICHEZO
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment