SOMA TAARIFA YA (CCM) :-Ni kutoridhishwa na utaratibu wa ukusanyaji na ujumlishaji wa matokeo katika baadhi ya majimbo. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, October 29, 2015

SOMA TAARIFA YA (CCM) :-Ni kutoridhishwa na utaratibu wa ukusanyaji na ujumlishaji wa matokeo katika baadhi ya majimbo.

Mjumbe wa kamati ya Kampeni ya CCM-2015, January Makamba.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamesema watakwenda mahakamani kupinga matokeo ya ubunge majimbo ya; Iringa Mjini, Mikumi, Ndanda na Kawe.

Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam Jana October 28,2015, Mjumbe wa kamati ya Kampeni ya CCM-2015, January Makamba amesema kuwa CCM haijaridhishwa na utaratibu wa ukusanyaji na ujumlishaji wa matokeo katika baadhi ya majimbo.

Taarifa yote soma hapa chini


Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad