Diamond
Platnumz akiwa na moja ya tuzo alizoshinda pamoja na mchekeshaji kutoka Nigeria
Basketmouth.
|
Tuzo tatu
alizoshinda Diamond Platnumz.
Siyo mara ya
kwanza kwa msanii Diamond Platnumz kuchukua tuzo mbalimbali za kimataifa lakini
kwa Vanessa Mdee inaweza ikawa moja kati ya historia nzuri kwake huku Ommy
Dimpoz akiwa na kila sababu ya kufurahia tuzo yake ya kwanza ya kimataifa baada
ya kujinyakulia tuzo maarufu za Afrimma.
Wasanii hao
walijinyakulia tuzo hizo usiku wa kuamkia October 11,2015 huko Dallas, Marekani ambapo
Diamond alichukua tuzo tatu katika vipengele vya Best Dance Video kupitia wimbo
wake wa Nana, Best Male East Africa Artist na Artist of The Year huku wimbo wa
Alive alioshirikiana na Brackets ukichukua tuzo ya Best Inspirational Song of
The Year.
Wakati
huohuo mwanadada, Vanessa Mdee akichukua tuzo ya Best Female East Africa huku
Ommy Dimpoz akichukua tuzo ya Best New Comer na kufanya Tanzania kukusanya
jumla ya tuzo tano.
Washindi
wengine wa tuzo hizo katika vipengele tofautitofauti kutoka nchi mbalimbali ni
kama vile; God Father, AKA, Yemi Alade, Davido, Wizkid na Yuri.
|
Vanessa Mdee
akiwa na tuzo.
Hii ni
orodha ya washindi.
Best Male
(South Africa) – AKA
Best Male
(East Africa) – Diamond Platnumz
Best Male
(Central Africa) – Yuri Da Cunha
Best Male
(West Africa) – Davido
Best Female
(East Africa) – Vanessa Mdee
Best Female
(West Africa) – Yemi Alade
AFRIMMA
Inspirational Song – Bracket feat. Tiwa Savage and Diamond Platnumz for ‘Alive’
Best DJ (US)
– DJ Simplesimon
Best
Newcomer – Ommy Dimpoz
Best
Collaboration – AKA feat. Da Les and Burna Boy for ‘All Eyes on Me’
Best Dance
Video – Diamond Platnumz for ‘Nana’
Best Video –
Wizkid for ‘Ojuelegba’
Artist of
the Year – Diamond Platnumz
Legendary
Award – Yossou N’Dou
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
|
No comments:
Post a Comment