Hii ni
nyumba ambapo kulikuwa
na maduka 2 ya mfanyabiashara Godfrey Iphurahimu.
|
Mmoja ya
pikipiki iliyoharibiwa na nyingine
imeibiwa haijulikani ilipo
|
Hali ya
usalama katika kijiji
cha Nyamiyaga inaweza
kuwa mbaya zaidi
kama Jeshi la
Polisi halitasimama katika
misingi na weledi
wa kazi yao
na badala yake
kutenda kwa ushabiki
wa kisiasa maafa
zaidi yanaweza kujitokeza.
Watu waliotajwa
na wananchi katika
mkutano wa Kamanda
wa Polisi Mkoa
wa Kagera Agustine
Ollomi wananchi waliwataja
vinara wa vurugu
hizo lakini cha
ajabu wanamshikilia mgombea
udiwani wa kata
hiyo Tulakile Twijuke
Libent eti yeye ndiye
chanzo cha fujo
hatukatai hilo ila
waliotajwa (CCM) wapo
vijiweni wanatamba kuwa
watafanya visa zaidi
kabla ya uchaguzi
sasa kuna taarifa
za wafuasi wa
CHADEMA nao kujipanga
kulipiza kisasi.
Kwa taarifa
za uhakika kutoka
katani humo wananchi
hawana amani na
wanasema kuwa usalama
wao uko hatarini
hivyo haki inatakiwa
kutendeka ili kuweza
kurejesha hali ya
utulivu.
Magari yaliyoharibiwa ni
mawili mali nyingine zilizoharibiwa ni
paneli mbili za
solara zilizoibiwa ,Saluni moja
iliyochomwa moto,pikipiki mbili
moja haijulikani ilipo
vyote mali ya
mgombea udiwani kupitia
CHADEMA Tulakile Libenti
ambaye ni diwani
anayemaliza muda wake
na gari moja
la Zawadi Kazahura
ambaye ni mgombea
udiwani kupitia CCM.
|
Afisa Mtendaji
wa Kijiji cha
Nyamiyaga Fredinand Bashasha
ambaye pia ana
Kaimu Kata ya
Bugomora alisema kuwa
kwa mujibu wa
ratiba mgombea udiwani
wa kata hiyo
kupitia CCM Zawadi
Niclous Kazahura ratiba
yake ilikuwa kijiji
cha Nyamiyaga huku
mwenzake Tulakile Tuijuke Libent
wa CHADEMA yeye
alikuwa na mkutano
kijiji jirani cha
Magoma.
Watuhumiwa 20
wanashikiliwa kwa ajili
ya uchunguzi wa
awali kuhusiana na
tukio hilo ambapo
Kamanda wa Polisi
Mkoa wa Kagera
Agustine Ollomi alitoa
agizo kwa wale
wote waliotajwa na
walipofuatwa kukamatwa walikuta
wameishatoweka hivyo wajisalimishe kabla
jioni ya jana
kwenye kituo cha
Polisi cha Murongo
kilichopo kata ya
Murongo wilayani Kyerwa.BOFYA HAPA KUTAZAMA PICHA ZAIDI /KUSOMA''
|
No comments:
Post a Comment