LIGI KUU UINGEREZA 2015/2016:-Taswira Picha ya Matokeo ya Manchester City,Arsenal na Kufungwa kwa Jose Mourinho Ligi kuu leo September 12,2015. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Saturday, September 12, 2015

demo-image

LIGI KUU UINGEREZA 2015/2016:-Taswira Picha ya Matokeo ya Manchester City,Arsenal na Kufungwa kwa Jose Mourinho Ligi kuu leo September 12,2015.

.com/simgad/
4

 Crystal Palace 0 – 1 Manchester City 

Manchester City wameendelea rekodi yao ya kushinda Mechi zao zote za Ligi Kuu Uingereza baada ya kuichapa Crystal Palace 1-0 Ugenini huko Selhurst Park jioni ya leo hii September 12,2015.

Kelechi Iheanacho, Tineja kutika Nigeria alieingizwa mwishoni kutoka Benchi, aliipa City ushindi kwa Bao la Dakika ya 90. 

1
Arsenal 2 – 0 Stoke .

Bao za Theo Walcott na Olivier Giroud Leo zimewapa Arsenal ushindi wa 2-0 walipocheza na Stoke City Uwanjani Emirates na kuchupa hadi Nafasi ya 3 katika Ligi Kuu .

Walcott alifunga Bao lake Dakika ya 31 na Giroud, alieanzia Benchi, alifunga Dakika ya 85.
3

2

1

Naye kocha Jose Mourinho huenda akakalia kuti kavu la kuendelea kuwa kocha wa Chelsea ,kufuatia timu yake The Blues kufungwa mabao 3-1 na Everton 3-1 jioni ya leo September 12,2015 katika mchezo wa Ligi Kuu huko kwenye Uwanja wa Goodison Park.

Mwanasoka wa kimataifa wa Scotland, Steven Naismith aliyetokea benchi aliifungia mabao yote hayo matatu Everton dakika za saba, 22 na 82, wakati bao la kufutia machozi la Bluse lilifungwa na Nemanja Matic dakika ya 36.

LIGI KUU UINGEREZA 2015/2016 -RATIBA.

Jumapili Septemba 13,2015.

1530 Sunderland v Tottenham   
           
1800 Leicester v Aston Villa    
             
Jumatatu Septemba 14,2015.

2200 West Ham v Newcastle   


Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.      


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *