![]() |
Wachezaji wa
Azm Farid Mussa (katikati) na Mudathir Yahya (kulia) wakishangilia goli la pili
la Azam FC kwa staili ya kusujudu.
Katika
mchezo mwingine wa Ligi Kuu leo,September 12,2015, Azam FC imeibuka na ushindi
wa mabao 2-1 dhidi ya Prisons ya Mbeya kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi,
Dar es Salaam.
Shukrani
kwake Farid Mussa aliyefunga bao la ushindi dakika ya 86 baada ya Jeremiah
kuisawazishia Prisons dakika ya 60, kufuatia .
Kipre Herman
Tchetche kuanza kuifungia Azam FC dakika ya 42.
Jumapili ,September
13,2015 Mabingwa Yanga SC kushuka Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam kucheza
na Coastal Union.
VPL-LIGI KUU
VODACOM - RATIBA/MATOKEO.
Jumamosi
Septemba 12,2015.
Ndanda 1 - 1 Mgambo Shooting (Nang’wanda - Mtwara)
African
Sports 0 – 1 Simba SC (Mkwakwani - Tanga)
Majimaji 1 –
0 JKT Ruvu (Majimaji - Songea)
Azam FC 2 –
1 Tanzania Prisons (Azam Complex - Dsm)
Stand United
0 – 1 Mtibwa Sugar (Kambarage -
Shinyanga)
Toto
Africans 1 – 0 Mwadui (CCM Kirumba -
Mwanza),
Mbeya City 0
– 1 Kagera Sugar (Sokoine - Mbeya)
Jumapili
Septemba 13,2015.
Yanga v
Coastal Union (Taifa – Dar es salaam).
|
Post Top Ad
Saturday, September 12, 2015

Home
MICHEZO
LIGI KUU VODACOM TANZANIA:- Leo September 12,2015 imeanza Msimu mpya wa 2015 / 2016 kwa Mechi 7..Haya ndio matokeo ya Mechi hizo.
LIGI KUU VODACOM TANZANIA:- Leo September 12,2015 imeanza Msimu mpya wa 2015 / 2016 kwa Mechi 7..Haya ndio matokeo ya Mechi hizo.
Tags
# MICHEZO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
Makala Inayofuata
LIGI KUU UINGEREZA 2015/2016:-Taswira Picha ya Matokeo ya Manchester City,Arsenal na Kufungwa kwa Jose Mourinho Ligi kuu leo September 12,2015.
Makala Iliyopita
SHERIA YETU:-oma Taarifa ya TCRA juu ya Vipindi wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015.
Luka Modric Mchezaji Bora Ulaya 2017/2018, Ronaldo Mshambuliaji Bora.
AnonymousAug 31, 2018Azam na Yanga zaibuka na Ushindi Ligi Kuu Tanzania Bara.
AnonymousAug 24, 2018Shule 18 za Sekondari Ngara zapokea Vifaa vya Michezo kutoka Coca Cola.
AnonymousAug 03, 2018
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment