KAMPENI 2015 UBUNGE JIMBO LA NGARA:-Dr Bujari atikisa kwa Mapokezi ya Heshima Kata ya Mursagamba. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, September 12, 2015

KAMPENI 2015 UBUNGE JIMBO LA NGARA:-Dr Bujari atikisa kwa Mapokezi ya Heshima Kata ya Mursagamba.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ngara mkoani kagera kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Dr Petter Bujari leo September 12,2015 kaendelea na mikutano yake ya Kampeni ambapo alipata mapokezi ya heshima na Wananchi wa Kata ya Mursagamba  na amesema kuwa akipewa ridhaa ya Kuwa Mbunge wa Jimbo la Ngara ,atahakikisha anasimamia Vipaumbele vyake Vinne vya  Kusimamia utawala wa sheria na haki, Kutatua kero na matatizo hasa ya wafanyakazi , walimu na  madaktari , kuondoa kero za wafugaji na wakulima na kupanua na kukuza kilimo na ufugaji ili kukuza pato la Wanangara.




Wananchi wa Mursagamba, wilaya ya Ngara,mkoani Kagera wakishangilia ujio wa Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Dr Petter Bujari alipokuwa akifanya Kampeni katika Kata hiyo leo September 12,2015.



Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.   

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad