UTAMADUNI WETU:-Tazama Taswira Picha ya Uchezaji wa Ngoma ya Asili ya Umwiyeleko. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, February 22, 2015

UTAMADUNI WETU:-Tazama Taswira Picha ya Uchezaji wa Ngoma ya Asili ya Umwiyeleko.

Ngoma hii ya Asili ya '' UMWIYELEKO '' huchezwa na Jamii za kimakabila ya Warundi, nchini Burundi kama picha zinavyotuonesha wakicheza wakati wa Ufunguzi wa Ofisi za Chama Tawala nchini Burundi CNDD - FDD hivi karibuni katika wilaya ya Giteranyi ,mkoani Muyinga lakini pia huchezwa na Kabila la Wahangaza na Washubi waishio wilayani Ngara,mkoani Kagera nchini Tanzania.Picha zote Na:-Shaban Ndyamukama.



Hivyo Burundi, rasmi ya Jamhuri ya Burundi, ni nchi isiyokuwa na bandari katika eneo la Maziwa Makuu ya Afrika Mashariki imepakana na Rwanda upande wa kaskazini, Tanzania kwa upande wa mashariki na kusini, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo upande wa magharibi. 

Ukubwa wake ni chini ya 28,000 km² na wakazi wapatao wa karibu 8,700,000. mji mkuu wake ni Bujumbura. Ingawa nchi ni bandari, mengi ya mpaka wa kusini magharibi ni karibu na Ziwa Tanganyika.



Picha zote na Shaban Ndyamukama/Giteranyi,Burundi.. UNGANA  NASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad