MAPINDUZI CUP 2015:- Simba Vs Polisi ....Mtibwa Vs JKU ni Nusu fainali leo Januari 10 mwaka huu uwanja wa Amaan Zanzibar. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Saturday, January 10, 2015

demo-image

MAPINDUZI CUP 2015:- Simba Vs Polisi ....Mtibwa Vs JKU ni Nusu fainali leo Januari 10 mwaka huu uwanja wa Amaan Zanzibar.

.com/simgad/
IMG_0505

Kocha mkuu wa Simba SC, Mserbia, Goran Kapunovic akimuelekeza kiungo Said Ndemla jinsi ya kupiga krosi katika mazoezi yaliyofanyika jioni ya Januari 09,2015 uwanja wa Amaan Zanzibar.



JKU ambao ni vinara wa ligi kuu Soka ya Zanzibar 2014/2015 ,wamefuzu kucheza hatua ya nusu fainali ambapo watachuana na vinara wa ligi kuu Tanzania bara Mtibwa Sugar leo Jumamosi Januari 10,2015 .
IMG_0522

Nusu Fainali nyingine itakayochezwa Siku hiyo hiyo Jumamosi ni kati ya Polisi ya Zanzibar na Simba SC.

Polisi waliwavua Ubingwa KCCA ya Uganda baada ya kutoka nao Sare 0-0 na hatimae kushinda kwa Mikwaju ya Penati 5-4 na Simba SC kuitwanga Taifa ya Jang’ombe 4-0.

Jumamosi Januari 10,2015.

Nusu Fainali

1600 Simba v Polisi

2015 Mtbwa Sugar v JKU

Jumanne Januari 13,2015.

Fainali

2015 Simba/Polisi v Mtbwa Sugar/JKU
UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *