EPL 2014/2015:-Matokeo ya gemu za leo Desemba 26,2014 huku John Terry na Diego Costa wakiipa Ushindi Chelsea. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, December 26, 2014

EPL 2014/2015:-Matokeo ya gemu za leo Desemba 26,2014 huku John Terry na Diego Costa wakiipa Ushindi Chelsea.

A minute applause is observed to mark a 100 Years since the Christmas Truce in WW1 before the game at Stamford Bridge Desemba 26,2014,ambapo Harakati za Chelsea kuendelea kudhibiti uongozi katika ligi kuu soka ya Uingereza umeendelea hii leo katika mechi za siku ya Boxing Dei zinazoshirikisha ligi za madaraja tofauti ya soka nchini Uingereza.

 The Blues kama wanavyojulikana ambao sasa wana alama tatu juu ya mabingwa wa ligi hiyo Manchester City baada ya kuifunga  West Ham bao 2-0.

Ni mechi ya pili ya Chelsea katika mechi nne ndani ya siku 11.

Magoli ya leo Desemba 26,2014 ya Chelsea yamefungwa na John Terry dakika ya 31 na Diego Costa dakika 62 na kumfanya kufikisha magoli 13 sasa ya kufunga.

Baada ya mechi hiyo dhidi ya 'wananyundo West Ham' .Chelsea itaenda kucheza na  Southampton tarehe 28 Disemba na Totenham tarehe 1 January ,2015.
Leaders Chelsea recorded their third straight 2-0 Premier League victory on Boxing Day against London rivals West Ham
The Chelsea captain prodded home from two yards out after a corner was flicked on into his direction at the near post
MATOKEO EPL 2014/2015.

Ijumaa Desemba 26,2014.

Chelsea 2 - 0 West Ham 

  Burnley 0 - 1 Liverpool 

Crystal Palace 1 - 3 Southampton 

 Everton 0 - 1 Stoke 

 Leicester 1 - 2 Tottenham  

Man Utd 3 - 1 Newcastle 

 Sunderland 1 - 3 Hull 

 Swansea 1 - 0 Aston Villa 

 West Brom 1 - 3 Man City 

 Arsenal 2 - 0 QPR ***

Jumapili Desemba 28,2014.

1500 Tottenham v Man United     
        
1705 Southampton v Chelsea  
   
1800 Aston Villa v Sunderland    
          
1800 Hull v Leicester     
            
1800 Man City v Burnley     
       
1800 QPR v Crystal Palace    
      
1800 Stoke v West Brom    
        
1800 West Ham v Arsenal   
       
1915 Newcastle v Everton    
      
Jumatatu Desemba 29,2014.

2300 Liverpool v Swansea    
      
Alhamisi Januari 1,2015.

1545 Stoke v Man United   
        
1800 Aston Villa v Crystal Palace       
   
1800 Hull v Everton    
     
1800 Liverpool v Leicester    
      
1800 Man City v Sunderland     
            
1800 Newcastle v Burnley  
         
1800 QPR v Swansea       
          
1800 Southampton v Arsenal     
          
1800 West Ham v West Brom     
          
2030 Tottenham v Chelsea

Katika Michezo Mingine-Nahodha wa man United, Wayne Rooney kapiga bao mbili, moja ikapigwa na Robin van Persie na Man United ikaibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Newcastle.

Ushindi huo unaifanya Man United kuwa imepata mabao matatu kupitia wafungaji wake walewale waliokuwa wakitegemewa msimu uliopita, walioisaidia kupata ubingwa wa mara ya mwisho.

Kurejea kwa wote wawili, kunaibua matumaini kwamba itaendelea kushinda mfululizo. Bao la Newcastle ambayo sasa inazidi tu kupoteza michezo mfululizo, lilifungwa na Papis Cisse.
Mshambuliaji kinda wa Liverpool, Raheem Sterling ameibuka shujaa kwa kuifungia timu yake bao pekee dhidi ya  Burnley ,ushindi wa bao 1-0 katika mechi ya nyingine ya Ligi Kuu Uingereza na kurudisha pumzi ya matumaini kwa mashabiki wake kutokana na kupoteza mechi mfululizo, pia kutokuwa na mwendo mzuri.
Manchester City players defend a free-kick taken by Craig Gardner of West Brom during the match at the Hawthornes na Man City katika mchezo huo wakashinda bao 3-1 kwa Fernando scored his first goal for City, Yaya Toure hammered home a penalty and David Silva stroked in a sumptuous finish to give City a 3-0 advantage by the 34th minute.
Manchester City players Yaya Toure, David Silva, Jesus Navas, Samir Nasri, Fernando and Bacary Sagna celebrate their victory.
UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad