Arsenal 2-1 QPR:-Picha za Mchezo huo kwa Alexis Sanchez na Tomas Rosicky wakifunga huku OIivier Giroud akilimwa kadi Nyekundu. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, December 27, 2014

Arsenal 2-1 QPR:-Picha za Mchezo huo kwa Alexis Sanchez na Tomas Rosicky wakifunga huku OIivier Giroud akilimwa kadi Nyekundu.

Sanchez (left) won his side a penalty after fouled recklessly by former Arsenal defender Armand Traore on eight minutes katika mchezo wa  mechi za ligi kuu ya Uingereza katika ‘Boxing Day’  Desemba 26,2014 ikiwa ni  ‘London Derby’ kati ya Arsenal dhidi ya Queens Park Rangers.


Green (front) though was quick to react the shot, diving the right way to deny Sanchez's penalty.
Wakiwa wametoka kupata sare ngumu ya 2-2 dhidi ya Liverpool wiki iliyopita, Gunners jana Desemba 26,2014 wamefanikiwa kuingia kwenye sita bora ya Barclays Premier League 2014/2015 baada ya kushinda dhidi ya vijana wa Harry Redknapp.

Alexis Sanchez ambaye kwenye mchezo huo alikosa penati katika dakika za mwanzo za kipindi cha kwanza, alisahihisha makosa yake kabla ya kipindi cha kwanza hakijaisha kwa kuipa Arsenal goli la kusawazisha.

Kipindi cha pili kilianza kwa Gunners kupata upungufu uwanjani baada ya Oliver Giroud kupewa kadi nyekundu kwa kumpiga kichwa Onouah wa QPR.

Kadi nyekundu haikupunguza nguvu ya Arsenal mapema na muda mfupi baadae Thomas Rosicky alifanikiwa kuipa timu yake goli lake la pili.

Katika dakika za mwisho QPR walicharuka kutaka kusawazisha lakini waliishia kupata goli moja tu kwa mkwaju wa penati kupitia Charlie Austin – lakini mchezo unamalizika Arsenal 2-1 QPR.


Olivier Giroud (left) hugs and congratulates Sanchez after his goal gives Arsenal a 1-0 lead in the first half.


Arsenal were reduced to 10 men early in the second after Giroud (left) was sent off for headbutting Nedum Onuoha.

Atkinson (right) blows the whistle to stop play as Onuoha (centre) lays on the floor after being headbutted.
Giroud (second left) has no complaints as he is shown a straight red card by Atkinson (centre) at the Emirates.

UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.


Jumapili Desemba 28,2014.

1500 Tottenham v Man United     
        
1705 Southampton v Chelsea  
   
1800 Aston Villa v Sunderland    
          
1800 Hull v Leicester     
            
1800 Man City v Burnley     
       
1800 QPR v Crystal Palace    
      
1800 Stoke v West Brom    
        
1800 West Ham v Arsenal   
       
1915 Newcastle v Everton    

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad