Madhara kwa Wanaume Wanaopenda Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile Haya Hapa . - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Monday, April 08, 2013

demo-image

Madhara kwa Wanaume Wanaopenda Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile Haya Hapa .

.com/simgad/


Asilimia+26.5+wanawake+hufanya+mapenzi+kinyume+na+maumbile
Madhara anayoyapata mwanaume anayependa mchezo huo wa kufanya Mapenzi kinyume na maumbile ni kama ifuatavyo:-




Kwanza: Husababisha kusinyaa au kuweka makovu kwenye njia ya haja ndogo.




Pili: Njia ya haja ndogo kuziba kiasi au kuziba kabisa.




Tatu: Kupata saratani (kansa) ya tezi za figo (prostate gland).




Nne: Kupata magonjwa sugu ya uti wa mgongo.




Tano: Kuharisha.




Sita: Maambukizi ya VVU ambapo mwisho wake ni Upungufu wa Kinga Mwilini (Ukimwi).




Saba: Baadaye mhusika kupata msongo wa mawazo au sonona kwa kujutia tendo hilo.




Kila mwenye tatizo aende kwenye hospitali yoyote kubwa iliyo karibu au Tiba ya kwanza ni kuachana na mchezo huo kisha unaweza kufanya taratibu zingine za kucheki afya yako.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *