![]() |
Haaaaaah
Haaaaaah hapa nahisi Wapendwa wetu waungwana waliamua kusakata Mwanaaaaa wa Dar
au Mdogooooo Mdogooooo……Wakaingiaaa weweeeeeeee,Hapa CCM….. hapa CCHADEMA….Raha
tupuuuu.
|
![]() |
Safiiiiiii kwa Rahaaa zaoooooooo…ni baada ya ufunguzi rasmi wa barabara ya
Mwenge-Tegeta Oktoba 01,2014,katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe
jijini Dar es salaam. Picha na Othman Michuzi.
|
![]() |
Karibu
kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana
/Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp
![]() |
No comments:
Post a Comment