KUKOSA UMAKINI:-Tazama Picha 4 za Kontena la kunde kudondoka kutoka juu ya gari la mizigo na kuleta Hofu. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, October 05, 2014

KUKOSA UMAKINI:-Tazama Picha 4 za Kontena la kunde kudondoka kutoka juu ya gari la mizigo na kuleta Hofu.

Watu wawili namenusulika kifo baada ya kontena la kunde kudondoka kutoka juu ya gari la mizigo lililokuwa kwenye mwendo kasi, likitokea Mbagala rangi tatu likielekea Kariakoo jijini dar es salaam.

 Taarifa zinasema kwamba hakuna mtu aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa katika tukio hilo, isipokuwa vijana wanaoishi maeneo hayo walianza kuzoa Kunde baada ya kontena kuanguka kabla ya polisi kufika.


Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

Imeelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo nikutofungwa vizuri kwa kontena hilo pamoja na bodi la gari la mizigo husika na kwamba Ajali hii imetokea leo Octob 05,2014 katika Eneo la Msikitini kati ya Mtongani na Mission jijini Dar es Salaam.Picha Na:-Mutalemwa Blog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad