![]() |
Galatasaray sealed their place in the last 16 of the
Champions League in dramatic style as Wesley Sneijder's late goal saw them beat
Juventus
1-0 on Wednesday(Desemba 11,2013).
|
Hata hii leo(Desemba 11,2013), Mechi ilichezwa katika
mazingira magumu maana Barafu iliendelea kuanguka na Uwanja kuonekana mbovu na
kujaa matope kwa sehemu nyingi.
Bao la ushindi la Galatasaray
lilifungwa na Wesley Sneijder katika Dakika ya 85 baada ya kupokea pasi ya
kichwa ya Didier Drogba alieshusha Mpira huo kufuatia pasi ya juu toka nyuma.
Wakati Juventus wakihitaji Sare tu ili
kuungana na Real Madrid kwenye Raundi ya Mtoano ya Timu 16, Galatasaray
walitakiwa lazima washinde na Sneijder
amewafanya waungane na Real na kuwaacha Juve waende kucheza EUROPA LIGI.
Timu zilizofuzu mpaka sasa ni 11 huku zikibaki 5.
KUNDI A:
-Manchester United
-Bayer Leverkusen
KUNDI B:
-Real Madrid
-Galatasaray
KUNDI C:
-Paris St-Germain
-Olympiacos
KUNDI D:
-Bayern Munich
-Manchester City
KUNDI E:
-Chelsea
KUNDI F:
-Bado Timu
KUNDI G:
-Atletico Madrid
KUNDI H:
-Barcelona
**FAHAMU: Timu mbili za Juu kila
Kundi zinasonga Raundi ya Mtoano ya Timu 16 na Timu inayomaliza Nafasi ya Tatu
inatupwa EUROPA LIGI.
MSIMAMO.
KUNDI B
-IMEFUZU: Real Madrid
|
|||||||||
NA
|
TIMU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
GD
|
PTS
|
1
|
Real Madrid CF
|
6
|
5
|
1
|
0
|
20
|
5
|
15
|
16
|
2
|
Galatasaray Spor Kulübü
|
6
|
2
|
1
|
3
|
8
|
14
|
-6
|
7
|
3
|
Juventus
|
6
|
1
|
3
|
2
|
9
|
9
|
0
|
6
|
4
|
FC Copenhagen
|
6
|
1
|
1
|
4
|
4
|
13
|
-9
|
4
|
MECHI ZA MWISHO ZA MAKUNDI:
[SAA 4 Dakika 45 Usiku]
Jumatano 11 Desemba 2013
FC Schalke 04 v FC Basel 1893
Chelsea FC v FC Steaua BucureÅŸti
Olympique de Marseille v Borussia
Dortmund
SSC Napoli v Arsenal FC
FK Austria Wien v Football Club
Zenit
Club Atlético de Madrid v FC Porto
AC Milan v AFC Ajax
FC Barcelona v Celtic FC
KUNDI E
Mechi zilizobaki-Jumatano Desemba 11:
Chelsea v Steaua Bucharest
Schalke v Basel
KUNDI E -Chelsea imefuzu, bado moja |
|||||||||
NA |
TIMU |
P |
W |
D |
L |
F |
A |
GD |
PTS |
1 |
Chelsea FC |
5 |
3 |
0 |
2 |
11 |
3 |
8 |
9 |
2 |
FC Basel 1893 |
5 |
2 |
2 |
1 |
6 |
5 |
1 |
8 |
3 |
Schalke |
5 |
2 |
1 |
2 |
4 |
6 |
-2 |
7 |
4 |
FC Steaua Bucuresti |
5 |
0 |
1 |
2 |
2 |
9 |
-7 |
3 |
Chelsea washafuzu lakini ni lazima waifunge Steaua Bucharest ili kujihakikishia Nafasi ya Kwanza ya Kundi hili.
FC Basel watasonga pamoja na Chelsea ikiwa tu hawafungwi na Schalke.
KUNDI F
Mechi zilizobaki-Jumatano Desemba 11:
Marseille v Borussia Dortmund
Napoli v Arsenal
KUNDI F -Hamna iliyofuzu |
|||||||||
NA |
TIMU |
P |
W |
D |
L |
F |
A |
GD |
PTS |
1 |
Arsenal |
5 |
4 |
0 |
1 |
8 |
4 |
4 |
12 |
2 |
BV Borussia Dortmund |
5 |
3 |
0 |
2 |
9 |
5 |
4 |
9 |
3 |
Napoli |
5 |
3 |
0 |
2 |
8 |
9 |
-1 |
9 |
4 |
Olympique de Marseille |
5 |
0 |
0 |
5 |
4 |
12 |
-8 |
0 |
Arsenal wameshinda Mechi 4 kati ya 5 ya Kundi hili lakini bado hawana uhakika wa kusonga.
Arsenal watasonga tu ikiwa watakwepa
kipigo kikubwa Ugenini na Napoli lakini pia ikiwa Borussia Dortmund
itashindwa kuifunga Marseille, Arsenal watapita tu hata wakibondwa kwa
Bao nyingi na Napoli.
Napoli wako sawa na Borussia Dortmund,
na ili wao kufuzu kwa mujibu wa kanuni za UEFA kufuatia matokeo ya Uso
kwa Uso, wanahitaji kumaliza wakiwa na Pointi zaidi kupita Dortmund
KUNDI G
Mechi zilizobaki-Jumatano Desemba 11:
Atletico Madrid v FC Porto
Austria Vienna v Zenit St Petersburg
KUNDI G -Atletico Madrid imefuzu, bado moja |
|||||||||
NA |
TIMU |
P |
W |
D |
L |
F |
A |
GD |
PTS |
1 |
Atletico de Madrid |
5 |
4 |
1 |
0 |
13 |
3 |
10 |
13 |
2 |
Zenit St. Petersburg |
5 |
1 |
3 |
1 |
4 |
5 |
-1 |
6 |
3 |
FC Porto |
5 |
1 |
2 |
2 |
4 |
5 |
-1 |
5 |
4 |
FK Austria Wien |
5 |
0 |
2 |
3 |
0 |
8 |
-8 |
2 |
Atletico Madrid wameshafuzu na kutwaa ushindi wa Kundi hili.
Zenit St Petersburg wako mbele ya FC
Porto kwa matokeo ya Uso kwa Uso na ili Porto wafuzu wanahitaji kuifunga
Atletico na Zenit washindwe kuifunga Austria Vienna.
KUNDI H
Mechi zilizobaki-Jumatano Desemba 11:
Barcelona v Celtic
AC Milan v Ajax
KUNDI H -Barcelona imefuzu, bado moja |
|||||||||
NA |
TIMU |
P |
W |
D |
L |
F |
A |
GD |
PTS |
1 |
FC Barcelona |
5 |
3 |
1 |
1 |
10 |
3 |
7 |
10 |
2 |
AC Milan |
5 |
3 |
2 |
0 |
8 |
5 |
3 |
8 |
4 |
Ajax Amsterdam |
5 |
2 |
1 |
2 |
5 |
8 |
-3 |
7 |
3 |
Celtic |
5 |
1 |
0 |
3 |
2 |
7 |
-5 |
3 |
Barcelona wameshafuzu lakini watakosa kutwaa uongozi wa Kundi ikiwa watafungwa na Celtic na AC Milan kuifunga Ajax.
Ajax lazima waifunge AC Milan Uwanjani San Siro ili wao wafuzu.
No comments:
Post a Comment