![]() |
Arrival: The
procession this morning concluded with Mandela's casket being carried in to the
Union Buildings
|
![]() |
Emotional:
Thousands of South Africans waved and paid their respects to their first black
president
|
![]() |
Soldiers
salute Mr Mandela's coffin as it leaves the 1 Military Hospital on the
outskirts of Pretoria this morning
|
![]() |
Icon:
Despite the early start, citizens thronged the streets of downtown Pretoria to
glimpse the hearse
|
![]() |
Salute:
Soldiers pay tribute as the hearse carrying Mandela's casket passes them on its
way to the Union Buildings
|
![]() |
Citizens
stood on top of bollards and clamoured to film the historic passing of the
cortege on their phones
|
![]() |
Poignant:
The Union Buildings were the seat of the apartheid government before Mandela
ruled the country from there
|
![]() |
Solemn: The
casket will lie in state at the Union Buildings until Mandela is buried at a
funeral on Sunday
|
![]() |
Cortege: The
body of Nelson Mandela is driven through the streets of the capital Pretoria
this morning
|
![]() |
South Africans
were praised for the 'dignified' way in which they commemorated the death of
Nelson Mandela
|
![]() |
Thousands of
ordinary South Africans sang God Bless Africa - Nkosi Sikelel'i Afrika - as
they joined leaders at the FNB stadium in Soweto
|
![]() |
A dome is
constructed near the house of former South African president Nelson Mandela, in
Qunu
|
![]() |
Nelson
Mandela's face is seen on a huge screen next to mourners at yesterday's stadium
service
|
![]() |
The memorial
celebrated his gift for uniting enemies across political and racial divides
|
![]() |
Mr Mandela,
who died last Thursday aged 95, was described as one of the most iconic world
leaders in history
|
![]() |
Sombre:
While Mr Mandela's death at 95 was sad, most used the occasion to celebrate his
achievements
|
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Jana, Jumanne,
Desemba 10, 2013, aliungana na viongozi wa mataifa mbali mbali duniani na
maelfu ya wananchi wa Afrika Kusini Kuadhimisha Kumbukumbu ya Kifo cha
aliyekuwa kiongozi mashuhuri wa Afrika Kusini na duniani, Mheshimiwa Nelson R
Mandela.
Maelfu kwa
maelfu ya wananchi wamehimili mvua kubwa iliyokuwa inanyesha kwa nguvu kwenye
Uwanja wa Michezo wa FNB mjini Johannesburg kumwaga Mzee Mandela ambaye alikuwa
ishara kuu ya upinzani wa siasa za ubaguzi wa rangi za makaburu wa Afrika
Mashariki.
Mheshimiwa
Mandela ambaye alifariki duniani Ijumaa iliyopita, Desemba 5, 2013, alikuwa
Kamanda wa Jeshi la Ukombozi la Chama cha African National Congress la Umkhoto
we Sizwe akafungwa jela kwa uhaini kwa miaka 27 na utawala wa Makaburu.
Baada ya
kutoka jela mwaka Februari 1990, Mzee Mandela alichaguliwa kuwa Rais wa Kwanza
wa Afrika Kusini ya mwaka 1994. Lakini Mheshimiwa Mandela alitumikia kipindi
kimoja tu cha miaka mitano na kukataa kutumikia kipindi cha pili.
Kiasi cha
viongozi 91 kutoka sehemu duniani wamehudhuria Kumbukumbu hiyo iliyokuwa na
kila aina ya mchanganyiko wa hisia – wengine wakiwa na majonzi na wengine
wakicheza na kuimba kwa muda wote wa shughuli hiyo iliyochukua kiasi cha jumla
ya saa tano.
Mbali na
Rais Kikwete ambaye amefuatana na Mama Salma Kikwete, marais wengine mashuhuri
duniani waliohudhuria Kumbukumbu hiyo ni Mheshimiwa Barack Obama wa Marekani,
Mheshimiwa Francois Hollande wa Ufaransa, Waziri Mkuu wa Uingereza, Mheshimiwa
David Cameroun na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Ban Ki Moon.
Kumbukumbu
hiyo pia ilihudhuriwa na viongozi wa zamani wa Marekani wakiwemo marais watatu
wa zamani wa Marekani – Mheshimiwa Jimmy Carter, Mheshimiwa Bill Clinton na
Mheshimiwa George W Bush na mawaziri wakuu wawili wa zamani wa Uingereza,
Mheshimiwa Tony Blair na Mheshimiwa Gordon Brown.
Rais Kikwete
leo, Jumatano, Desemba 11, 2013, ataungana na viongozi wenzake katia katika
kutoa heshima za mwisho na kuuaga rasmi mwili wa Marehemu Mandela ambao
utawekwa kwenye Majengo ya Urais wa Afrika Kusini ya Union Buildings mjini
Pretoria.
![]() |
Familia ya
Hayati Nelson Mandela ikifuatilia misa maalum ya kumuombea kiongozi huyo
Maarufu Duniani pamoja na kwamba mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha.
|
![]() |
Mke wa
zamani wa Hayati Mzee Nelson Mandela, Winnie Madikizela-Mandela akionekana ni
mwenye huzuni mkubwa wakati wa ibada maalum iliyofanyika leo kwenye Uwanja wa
FNB Soccer City,Jijini Johannesburg.
|
![]() |
Maelfu wa
wananchi walijitokeza katika misa hiyo pamoja na mvua kubwa kunyesha muda mrefu
|
No comments:
Post a Comment