Tazama Picha 10 za Timu nzima ya Azam TV (Burudani kwa Wote) itakuwa Unguja na Pemba kuwaletea LIVE mashindano ya Mapinduzi Cup 2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, December 26, 2013

Tazama Picha 10 za Timu nzima ya Azam TV (Burudani kwa Wote) itakuwa Unguja na Pemba kuwaletea LIVE mashindano ya Mapinduzi Cup 2014.

Timu za Simba SC, Yanga SC, Mbeya City, Unguja Combine, Pemba Combine, Chuoni, KMKM, AFC Leopards na Tusker toka Kenya na URA na KCC za Uganda zimethibitisha kushiriki kuwania Kombe hilo la Mapinduzi kuanzia Tarehe 1 Januari 2014 hadi tarehe 13 January 2014.




Ratiba ya mechi ni mechi tatu kila siku saa 10:00 Jioni, Saa 01:00 Usiku na saa 02:30 Usiku kuanzia Tarehe 1 Januari 2014 hadi tarehe 13 January 2014.




Usiache kununua kisimbuzi (king’amuzi) chako cha Azam TV haraka uweze kujionea uhondo huu live, Mechi 26, viwanja viwili, timu 12  zitakazo toa Bingwa mmoja.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad