Taswira ya Ajali ya Kiberenge kikigonga mtu na kuvunjika Mguu. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, December 17, 2013

Taswira ya Ajali ya Kiberenge kikigonga mtu na kuvunjika Mguu.


Muonekano wa mabaki ya damu yakiwa yametapakaa kwenye Kiberenge.

Pikipiki ambayo imegongwa na Kiberenge.…huku Wananchi wakiishangaa pikipiki katika eneo la tukio.


Askari polisi akichukua maelezo kwa baadhi ya watu walioshuhudia ajali hiyo.


Mtu mmoja ambaye jina lake halikuweza kujulikana mara moja akiwa kwenye pikipiki yake leo (dESEMBA 17,2013) mchana maeneo ya Banda la Ngozi, Ilala jijini Dar es Salaam amegongwa na Kiberenge na kuvunjika mguu.

(PICHA NA ISSA MNALLY / GPL).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad