PICHA:-Matembezi ya hisani ya km 29 kuhamasisha Amani,Usalama,Maendeleo na Mshikamano hivi sasa Wilayani Ngara mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, December 21, 2013

PICHA:-Matembezi ya hisani ya km 29 kuhamasisha Amani,Usalama,Maendeleo na Mshikamano hivi sasa Wilayani Ngara mkoani Kagera.

Matembezi hayo yameanzia Radio Kwizera FM na yatamalizikia Kabanga (Hotel ya Tumain Letu)na Hapo pichani Ni mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali mstaafu Fabiani Masawe(Mulokozi) akizungumza na wanamatembezi kutoka taasisi,mashirika na watu binafsi waliojitokeza kushiriki matembezi hayo ya km 29 katika kituo cha kwanza –Nakatunga ,Ngara,pembeni yake mwenye miwani ni Mkuu wa wilaya ya Ngara Costantine Kanyasu.



Gari la matangazo la Radio Kwizera FM likiwa katika matembezi hayo kuhamasisha matembezi hayo ya km 29 .


1 comment:

  1. Big up! kwa waandamanaji wote. Kwa nn isiwe kila mwaka?

    ReplyDelete

Post Bottom Ad