Huu ndio Muonekano wa ndege ya Ethiopian Airline baada ya kutua kwa dharura baada ya ndege kupitiliza hadi nje ya uwanja mdogo wa ndege wa Arusha. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, December 18, 2013

Huu ndio Muonekano wa ndege ya Ethiopian Airline baada ya kutua kwa dharura baada ya ndege kupitiliza hadi nje ya uwanja mdogo wa ndege wa Arusha.

Watu 200 waliokuwa wakisafiri kwa ndege ya Ethiopian Airline wanusurika kufa baada ya ndege kupitiliza hadi nje ya uwanja mdogo wa ndege wa Arusha baada ya kutua kwa dharura.



Ndege aina ya Boeing 767 inayosadikiwa kuwa ni ya Shirika la Ndege la Ethiopia imetua kwa dharura majira ya saa tisa alasiri katika kiwanja cha kurushia ndege ndogo cha Arusha badala ya kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro, KIA.




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad