Cheki Ajali ya Gari lililokuwa likisafirisha Nyanya ,Eneo la Mindu mkoani Morogoro. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Thursday, August 01, 2013

demo-image

Cheki Ajali ya Gari lililokuwa likisafirisha Nyanya ,Eneo la Mindu mkoani Morogoro.

.com/simgad/
DSC06792
Gari aina ya ya lsuzu lenye namba za usajili  T 749 CCG  baada ya kupata ajali eneo la Mindu mkoani Morogoro -                          (Picha / Habari na Dustan Shekidele GPL, Morogoro).

DSC06791

DSC06790

DSC06788+(1)

DSC06793

DSC06794

DSC06795+(1)
Gari aina ya ya lsuzu lenye namba za usajili  T 749  CCG baada ya kupata ajali eneo la Mindu mkoani Morogoro -               (Picha / Habari na Dustan Shekidele GPL, Morogoro).
GARI aina ya Isuzu yenye namba za usajili T749 CCG lililokuwa likisafirisha nyanya kutoka kijiji cha Mlali kuelekea kwenye moja ya masoko ya mji wa Morogoro jana (Julai 31,2013) mchana lilipata ajali na kupinduka eneo la Mindu jirani na bwawa la Mindu mkoani Morogoro.

Mashuhuda wa tukio hilo walidai kwamba gari hilo lilipinduka baada ya kujaribu kumkwepa mwendesha bodaboda na kwamba katika ajali hiyo hakuna mtu aliyepoteza maisha ingawa baadhi ya wamiliki wa mizigo iliyokuwemo katika gari hilo walijeruhiwa.

'Unajua hivi vigari ni vyepesi sana hivyo kikiyumba kidogo tu kinapinduka, wafanyabiashara kwa kawaida huwa wanakaa juu ya matenga yao lakini kwenye tukio hili wamiliki wa matenga hayo ya nyanya walikaa kwa dereva, sipati picha kama wangekaa juu ya matenga yao kama ilivyozoeleka siku zote" alisema shuhuda huyo aliyejitambulisha kwa jina la Johnson Joseph.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *