Siku Tatu Za Maombolezo Baada Ya Ajali Ya Treni Hispania - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, July 27, 2013

Siku Tatu Za Maombolezo Baada Ya Ajali Ya Treni Hispania


Waziri mkuu wa Uhispania, Mariano Rajoy ametangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa, baada ya ajali ya treni iliotokea juzi nchini humo. Kiongozi huyo wa
serikali ametembelea eneo lililotokea ajali karibu na mji wa Santiago de Compostela na kuwatembelea majeruhi hospitalini. 





Takriban watu 80 wamefariki na zaidi ya wengine 130 wamejeruhiwa, baada ya treni iendayo kasi kuacha reli katika kona kabla ya kufika katika kituo kikuu katika mji huo ulioko kaskazini ya Hispania.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad