Rais Kikwete atoa agizo la Kumalizwa haraka mzozo wa kodi Mpya Tata ya ya Sim Card. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, July 23, 2013

Rais Kikwete atoa agizo la Kumalizwa haraka mzozo wa kodi Mpya Tata ya ya Sim Card.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na maofisa waandamizi wa Wizara ya pamoja na  wajumbe wa Chama cha  Makampuni ya Simu za mkononi alipokutana nao  kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 23, 2013.


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bi Beatrice Singano, mmoja wa wajumbe wa Chama cha  Makampuni ya Simu za mkononi alipokutana nao kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 23, 2013.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa wajumbe wa Chama cha Makampuni ya Simu za mkononi na Bw. Manoj Kohli wa Airtel ambaye pia ni Mkurugenzi wa Pamoja wa chama hicho alipokutana nao kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 23, 2013.
PICHA NA IKULU.


Rais wa Tanzania Dr.Kikwete ametoa agizo mamlaka zote husika zikae chini kutatua haraka mzozo wa kodi ya Sim Card ili kumaliza malalamiko ya wananchi. 




Rais Kikwete ametoa agizo hilo jioni(Julai 23,2013) hii alipokutana na viongozi wa wizara ya fedha, sayansi mawasiliano na teknolojia, TCRA na wawakilishi wa makampuni yote ya simu Tanzania.



Lengo ilikuwa kujadili mzozo huo. 


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad