![]() |
Kikosi Cha
Simba SC dhidi ya Rhyno Rengers ya Tabora
matokeo
yakiwa 1-1 katika uwanja wa Al Hassani Mwinyi-Tabora.
|
![]() |
Kikosi Cha Rhyno Rengers ya Tabora kilicho panda Daraja kucheza Ligi kuu soka Tanzania bara msimu ujao wa 2013/2014.dhidi ya Simba SC ya Dar es Salaam.
|
![]() |
Waamuzi wa Mchezo wa Jumamosi (March 23,2013 )uwanja wa Al Hassani Mwinyi-Tabora kati ya Simba SC dhid ya Rhyno Rengers |
![]() |
Mashabiki wa Timu ya Rhyno Rengers Jukwaani. |
![]() |
Basi la timu ya Rhyno Rengers
kikosi cha
simba ya dar Ndani ya
uwanja wa Al-hassani Mwinyi Siku ya Jumamosi wakichuana na Simba SC ya Dar
|
No comments:
Post a Comment