![]() |
Marehemu Amos Kaguta. |
Mzee Amos
Kaguta, baba wa rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni amefariki dunia asubuhi
ya kuamkia leo (feb 22,2013).
Mzee Kaguta
amefia katika hospitali binafsi ya Kimataifa ya Kampala [IHK] ambapo alikuwa
amelazwa toka week iliyopita.
Taarifa
kutoka kwa msemaji msaidizi wa Rais Museveni, Bi. Lindah Nabusayi Wamboka,imesema
kuwa Mzee Kaguta amefariki leo asubuhi
majira ya saa moja katika hospital hiyo akiwa na umri wa miaka 96.
![]() |
Rais Museveni wa Uganda. |
![]() |
Hospitali binafsi ya Kimataifa ya Kampala I.H.K. |
No comments:
Post a Comment