![]() |
Naibu waziri wa Afrika Mashariki Abdullah Juma Saddallah amepata ajali ya gari alilokua akisafiria kwenye eneo la Kongowe Kibaha Pwani akitokea Dodoma kuja Dar es salaam. |
![]() |
Chanzo cha ajali amesema ni baada ya dereva wake kukwepa lori lakini hakufanikiwa na gari ikatoka nje ya barabara. |
![]() |
Hiyo ajali imetokea jana jioni ambapo Naibu waziri amesema hali yake sio mbaya sana ila dereva ndio ameumia kiasi, bado wanapata matibabu kwenye hospitali ya Tumbi Kibaha Pwani. |
Source:francisgodwin.blogspot.com
No comments:
Post a Comment