Kiwango cha ubora wa soka duniani Hispania ni kinara ,Taifa Starz yashuka nafasi Moja na kubaki nafasi 128. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, August 08, 2012

Kiwango cha ubora wa soka duniani Hispania ni kinara ,Taifa Starz yashuka nafasi Moja na kubaki nafasi 128.


Timu ya Hispania.

Hispania , ambao ndio Mabingwa wa Ulaya na Dunia, wameendelea kushika Nambari Wani kwenye Listi ya FIFA/Coca Cola ya Ubora Duniani iliyotolewa leo huku Tanzania ikiporomoka nafasi moja na kushikilia Nambari 128 na England ikipanda nafasi moja na kukamata nafasi ya 3 ambayo ni ya juu katika historia yao.


Aidha wao Brazil, Mabingwa wa Dunia mara 5, wameporomoka nafasi mbili na sasa wapo nafasi ya 13.


Timu ya Uingereza.

Nchi mpya, ambao pia ni Wanachama wapya wa FIFA wakiwa ni Mwanachama wa 209, wamepanda hadi nafasi ya 199 baada ya kucheza Mechi yao ya kwanza huko Mji Mkuu wao Juba, Sudan na kutoka sare 2-2 na Uganda hapo Julai 10.

 

 

Taifa Staz na Ivory Coast.

Kwa Afrika, Timu ambayo iko juu kabisa ni Ivory Coast iliyobaki nafasi yake ile ile ya 16.

 

Listi nyingine itatolewa Septemba 5 mwaka huu.

 

LISTI YA 20 BORA:

1 Spain

2 Germany

3 England

4 Uruguay

5 Portugal

6 Italy

7 Argentina

Kikosi cha Uholanzi.

8 Netherlands

9 Croatia

10 Denmark

11 Russia

12 Greece

13 Brazil

14 France

15 Chile

16 Côte d'Ivoire

17 Sweden

18 Mexico

19 Czech Republic

20 Ecuador

 

 

 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad