BIBI CHEKA FT MH. TEMBA - NI WEWE (BONGO FLAVA) - RADIO MBAO - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, March 30, 2012

BIBI CHEKA FT MH. TEMBA - NI WEWE (BONGO FLAVA) - RADIO MBAO



Huyu bila shaka ndiye msanii mkongwe zaidi wa Bongo Flava.  Anaitwa Bibi Cheka!!!MSANII wa muziki wa bongo fleva, kutoka kundi la Wanaume Family, Mh Temba, amesema  msanii huyo jina lake limeendana na umri wake kwani ni mtu mzima ingawa anafanya muziki mzuri kuliko hata wasanii wachanga na wabana pua.




Tazama Video hiyo hapa:

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad