Umiseta 2018 Ngara waenda Mapambanoni Viwanja vya Katoke,Muleba. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, May 22, 2018

Umiseta 2018 Ngara waenda Mapambanoni Viwanja vya Katoke,Muleba.

Timu ya UMISETA 2018 wilayani Ngara Kagera ikiagwa na Mkuu wa wilaya hiyo Luten Kanali Michael Mtenjele tayari kwenda kupambana na timu nyingine za wilaya za Mkoa wa Kagera.
Mashindano hayo yatahusisha michezo mbalimbali na yatafanyika katika viwanja vya Chuo cha Ualimu Katoke wilayani Muleba. 

Luten Kanali Mtenjele akiongea na Vijana hao ,amewataka kutunza Nidhamu na Afya zao kwani  ni Vitu vitakavyo wafanya kukuza Vipaji vyao na kupata Maendeleo endelevu katika Michezo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad