Spika Ndugai 'Niko tayari Kuzungumza na Mbowe kuhusu Madai yake' - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, April 06, 2018

Spika Ndugai 'Niko tayari Kuzungumza na Mbowe kuhusu Madai yake'



Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema yuko tayari kuzungumza na Mwenyekiti wa Chadema na Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kufuatia malalamiko ya kukosa huduma kutoka Serikalini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad